Mshambuliaji Chris Mugalu amepewa jukumu la kuongoza mashambulizi katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku.
Moja ya sehemu ambayo haitabiriki kwenye kikosi chetu katika kila mchezo ni eneo la ushambuliaji kutokana na Kocha Didier Gomez kupenda kubadili mshambuliaji kutokana na aina ya mechi.
Nyota wawili kiungo mshambuliaji Luis Miquissone na mlinzi wa kati Pascal Wawa wamerejea kikosi cha kwanza baada ya kukosa mchezo uliopita dhidi ya Gwambina FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Kikosi kamili kilivyopangwa
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohamed Hussein ©
4. Kennedy Juma
5. Pascal Wawa
6. Erasto Nyoni
7. Rally Bwalya
8. Mzamiru Yassin
9. Chris Mugalu
10. Clatous Chama
11. Luis Miquissone
Wachezaji wa Akiba
GK. Beno Kakolanya
02. Ibrahim Ame
03. Jonas Mkude
04. Bernard Morrison
05. Medie Kagere
06. John Bocco
07. Ibrahim Ajib
One Response
This Is Simba Nguvu Moja