Morrison ndani dhidi ya El Merrikh Leo

Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison leo ameanza kwenye kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa marudiano wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya El Merrikh utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa saa 10 jioni.

Mara kadhaa Morrison amekuwa akitokea benchi lakini leo kocha Didier Gomez kamuanzisha kwakua anahitaji kucheza soka la kushambulia.

Jana wakati akiongea na vyombo vya habari kuelekea mchezo wa leo kocha Gomez amesema atatumia mfumo wa kushambulia ndio maana kamuanzisha Morrison sambamba na Clatous Chama, Luis Miquissone huku Chris Mugalu akiwa mshambuliaji wa kati.

Kikosi Kamili cha Simba kilivyopangwa

1. Aishi Manula

2. Shomari Kapombe

3. Mohamed Hussein

4. Kennedy Juma

5. Joash Onyango

6. Thadeo Lwanga

7. Bernard Morrison

8. Mzamiru Yassin

9. Chris Mugalu

10. Clatous Chama

11. Luis Miquissone

Wachezaji wa Akiba

1. Benno Kakolanya

2. Erasto Nyoni

3. Jomas Mkude

4. Rally Bwalya

5. Miraji Athumani

6. Medie Kagere

7. Francis Kahata

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER