MKUDE NDANI SIMBA IKIIVAA LYON KWA MKAPA LEO

Baada ya kutoonekana kwa takribani miezi miwili kiungo Jonas Mkude leo ataanza kwenye kikosi cha kwanza kwenye mchezo wa Azam Sports Federation Cup dhidi ya African Lyon mchezo utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mkude ndiye mchezaji aliyedumu kwenye kikosi chetu kwa muda mrefu kuliko wote ambaye mara zote amekuwa ndani ya kikosi cha kwanza.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

 1. Aishi Manula
 2. Kennedy Juma
 3. Gadiel Michael
 4. Ibrahim Ame
 5. Erasto Nyoni
 6. Jonas Mkude
 7. Ibrahim Ajib
 8. Rally Bwalya
 9. Medie Kagere
 10. Perfect Chikwende
 11. Hassan Dilunga

Wachezaji wa Akiba

 • Beno Kakolanya
 • Mohamed Hussein
 •  Shomari Kapombe
 • Said Ndemla
 • Mzamiru Yassin
 • Miraji Athumani
 • John Bocco

1 Comment

 • Posted February 26, 2021 6:36 pm 0Likes
  by Sebastian ngonyani

  Kila mechi kwetu iwe fainal tusije kudharau team yeyote hadi tukamilishe malengo yetu ya msimu asante

Leave a comment