LIVE: Fuatilia Mubashara Mkutano Mkuu wa Wanachama

Wanachama wamekutana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu wa mwaka kwa mujibu wa Katiba ili kujadiliana masuala mbalimbali ya maendeleo.

Fuatilia Mubashara kupitia App hii kushuhudia kila kitu kitakachokuwa kinaendelea.

https://www.youtube.com/live/xgiHJBlwklw?si=QXQIf5GtrxaN0S07

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER