Leo tunaanza mchezo wa kirafiki

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitacheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Zira FC ‘The Eagles’ utakaofanyika katika Uwanja wa Bolu hapa Uturuki.

Zira ni timu inayoshiriki Ligi Kuu nchini Azerbaijan na ipo Uturuki kwa ajili ya kambi ya maandalizi kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2023/24 kama ilivyo kwetu.

Hii ni mechi ya kwanza ya kirafiki tangu tufike hapa Uturuki na italipa mwanga benchi la ufundi kuona jinsi gani wachezaji wanaelewa mafunzo wanayowapa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER