Kikosi Kitakachotuwakilisha dhidi ya Ihefu Leo

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Highland Estate kuikabili Ihefu FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kocha mkuu, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amefanya mabadiliko ya wachezaji sita ukilinganisha na kile kilichocheza juzi na Ihefu katika Robo Fainali ya Azam Sports Federation Cup.

Robertinho amewaanzisha Ally Salim, Gadiel Michael, Kennedy Juma, Ismael Sawadogo, Pape Sakho na Habib Kyombo ambao hawakuanza mechi iliyopita.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Ismael Sawadogo (3), Pape Sakho (10), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Habibu Kyombo (32), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba

Ahmed Teru (31), Jimmyson Mwanuke (21), Mohamed Hussein (15), Nassor Kapama (35), Jonas Mkude (20), John Bocco (22), Mohamed Mussa (14).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER