Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam Leo

Kikosi chetu leo saa 9:30 Alasiri kitashuka katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kuikabili Azam FC katika mchezo wa nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC).

Kocha mkuu Robertinho amefanya mabadiliko ya wachezaji saba ukilinganisha kwenye kikosi kilichocheza juzi dhidi ya Namungo.

Kikosi Kamili kilichopangwa

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38)

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Pape Sakho (10), Jonas Mkude (20), John Bocco (22), Peter Banda (11), Augustine Okrah (27).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER