Kikosi kitakachosafiri kuifuata ASEC nchini Ivory Coast

Nyota 22 watasafiri alfajiri ya kuamkia kesho kuelekea nchini Ivory Coast tayari kwa mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa Ijumaa katika Uwanja wa Felix – Houphouet – Boigny.

Hiki hapa kikosi kamili kitakachosafiri.

Makipa:

Aishi Manula, Ally Salim na Hussein Abel.

Walinzi:

Shomari Kapombe, Israel Patrick, David Kameta ‘Duchu’, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Fondoh Malone, Kennedy Juma, Hussein Kazi

Viungo:

Babacar Sarr, Sadio Kanoute, Fabrice Ngoma, Mzamiru Yassin, Abdallah Khamis, Saido Ntibazonkiza, Kibu Denis, Luis Miqussone na Clatous Chama.

Washambuliaji:

Pa Omar Jobe na Freddy Michael Kouablan.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER