Kikosi kitakacho tuwakilisha dhidi ya Wydad

Kikosi chetu leo saa nne usiku kitashuka katika Uwanja wa Mohamed wa V kuikabili Wydad Casablanca kutoka Morocco katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika.

Kocha Mkuu Roberto Oliviera ‘Robertinho’ hajafanya mabadiliko yoyote ya kikosi kilichoibuka na ushindi wa bao moja kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.

Kikosi Kamili kilivyopangwa:

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Joash Onyango (16), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (13), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), Jean Baleke (4), Saido Ntibazonkiza (39), Kibu Denis (38).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Israel Patrick (5), Kennedy Juma (26), Erasto Nyoni (18), Pape Sakho (10), Nassor Kapama (35), John Bocco (22), Moses Phiri (25), Peter Banda (11).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER