Kikosi Kitakacho tuwakilisha dhidi ya Power Dynamos

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Levy Mwanawasa kuikabili Power Dynamos katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hii ni mechi ya kwanza ya mlinda mlango Ayoub Lakred ambaye tumemsajili Kutoka ASFAR Rabat ya Morocco msimu huu.

Kikosi kamili kilivyopangwa:
Ayoub Lakred (40) Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Che Malone (20), Henock Inonga (29), Sadio Kanoute (8), Kibu Denis (38) Mzamiru Yassin (19), Moses Phiri (25), Clatous Chama (17) Willy Onana (7).

Wachezaji wa Akiba:
Ally Salim (1), Israel Patrick (5), Kennedy Juma(26), Hamisi Abdallah (13), Fabrice Ngoma(6), Luis Miquissone (11), Jean Baleke (4), Saidi Ntibazonkiza (10), John Bocco (22)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER