Kikosi Kilichopangwa kucheza dhidi ya Yanga

Saa moja usiku kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga kuikabili Yanga kwenye mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii.

Hiki hapa kikosi Kilichopangwa kwa ajili ya mtanange huo.

Ally Salim (1), Shomari Kapombe (12), Mohamed Hussein (15), Kennedy Juma (26), Che Malone Fondoh (20), Sadio Kanoute (8), Clatous Chama (17), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22), Saido Ntibazonkiza (10), Luis Miquissone (11).

Wachezaji wa Akiba

Hussein Abel (30), Israel Mwenda (5), Hussein Kazi (16), Fabrice Ngoma (6), Aubin Kramo (24), Essomba Onana (7), Moses Phiri (25), Kibu Dennis (38), Jean Baleke (4)

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER