Leo saa 10 jioni kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa KMC Complex kuikabili Yanga Princess katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa;
Janeth Shija (30), Ruth Ingosi (20), Dotto Evarist (2), Esther Mayala (23), Violeth Nicholas (26), Vivian Corazone (17), Asha Djafar (24), Amina Bilali (11), Jentrix Shikangwa (25), Precious Christopher (8), Elizabeth Mutukiza (4).
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Wincate Kaari (29), Fatuma Issa (5), Asha Rashid (14), Mwanahamisi Omary (7), Emeliana Mdimu (15), Jackline Albert (16), Shelda Boniface (9), Ritticia Nabbosa (27)