Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Police Bullets

Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Abebe Bikila saa tano asubuhi kuikabili Police Bullets kutoka Kenya katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) inayoendelea nchini Ethiopia.

Hiki hapa Kikosi Kamili kilichopangwa:

Caroline Rufa (18), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Daniela Ngoyi (22), Violeth Nicholaus (26), Ritticia Nabbosa (13), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Precious Christopher (8), Amina Bilali (11).

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yonah (21), Wincate Kaari (12), Easther Mayala (23), Saiki Mary (19), Jackline Albert (16), Asha Djafari (24), Mwanahamisi Omary (7), Shelda Boniface (9), Asha Rashid (14).

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER