Uongozi wa klabu tayari umeweka hadharani viingilio vya mchezo wetu wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Jumapili uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kiingilio cha chini kimewekwa Sh 5000 ili kuwafanya mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani kuisapoti timu kupata matokeo.
Tiketi zimeanza kuuzwa leo kwenye vituo mbalimbali ambapo kupitia mitandao ya simu zilianza kuuzwa tangu Jumanne.
Hivi hapa viingilio
Mzunguko Sh. 5000
VIP B na C Sh. 20,000
VIP Sh. 40,000
One Response