Habari Picha: Simba katika mazoezi ya jioni

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wetu wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting utakaofanyika Ijumaa, CCM Kirumba.

Mazoezi hayo yamefanyika katika Uwanja wa Boko Veterans chini ya Kocha Mkuu Pablo Franco na wasaidizi wake.

Katika mazoezi ya leo pia alikuwepo kocha mpya wa viungo, Don Daniel De Castro ambaye ametua nchini jana tayari kuongeza nguvu katika benchi la ufundi.

SHARE :
Facebook
Twitter

One Response

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER