
Tumevunja mwiko Uwanja wa Majaliwa
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC huku tukivunja mwiko katika Uwanja wa
Tumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC huku tukivunja mwiko katika Uwanja wa
Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa AlI Hassan Mwinyi kuikabili Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC tukiwa
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Bonanza, Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema Bonanza la mwaka huu litafanyika Februari Mosi na kama kawaida litashirikisha mashabiki
Kikosi chetu leo saa moja usiku kitashuka katika Uwanja Hammadi Agrebi – Tunis kwa ajili ya kuikabili CS Sfaxien katika mchezo wa nne wa
Kikosi chetu kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa KMC
Simba Queens imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Ceasiaa Queens katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa Uwanja wa Samora
Wachezaji wa Simba Queens jana na leo wamefanyiwa vipimo vya afya kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2024/25. Vipimo hivyo vimegawanyika
Tumefikia makubaliano ya kumuajiri Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 43 kuwa Kocha wetu Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili.
Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam usiku huu kutoka mkoani Kagera baada ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu ya NBC dhidi
Kikosi chetu leo 12:15 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Tabora United katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tunaingia kwenye mchezo