Baada ya muda kupita hatimaye mshambuliaji Chris Mugalu, ameanza katika kikosi cha kwanza kwenye mchezo wetu wa pili wa Michuano ya Mapinduzi dhidi ya Mlandege utakaopigwa Uwanja wa Amani saa 2:15 usiku.
Mara ya mwisho Mugalu kuanza kikosini ilikuwa Oktoba Mosi katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Dodoma Jiji uliopigwa Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma.
Kikosi kamili kilivyopangwa
Aishi Manula (28), Israel Mwenda (5), Gadiel Michael (2), Pascal Wawa (6), Henock Inonga (29),
Jonas Mkude (20), Denis Kibu (38), Mzamiru Yassin (19), Chris Mugalu (7), Pape Sakho (17), Yussuf Mhilu (27)
Wachezaji wa Akiba
Ally Salim, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Kennedy Juma, David Udoh, Bernard Morrison,
Medie Kagere, Sadio Kanoute, Cheick Moukoro.
One Response