Nyota watatu wameingia kwenye fainali ya kinyang’anyiro cha kuwania mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Desemba (Emirate Aluminium ACP Simba Fans Player of the Month).
Wachezaji walioingia fainali kutokana na uwezo walioonyesha ni kiungo mkabaji Jonas Mkude, walinzi wakati Henock Inonga na Joash Onyango.
Katika mwezi Desemba, Mkude amecheza mechi nne kati ya tano ambazo amecheza dakika zote 90 huku akisaidia kupatikana kwa mabao mawili (assist) wakati Onyango na Henock wakicheza mechi tatu kila mmoja kwa kiwango cha juu.
Awali walikuwa wachezaji watano pamoja na Kibu Denis na Sadio Kanoute lakini wawili hao wamechujwa na Kamati Maalum ya tuzo na kuwabakisha Mkude, Onyango na Henock.
Zoezi la mashabiki kupiga kura limeanza leo kupitia tovuti yetu ya www.simbasc.co.tz na litafungwa Januari mosi saa 10 jioni ambapo mwenye kura nyingi atatangazwa mshindi.
Mshindi atakabidhiwa tuzo na pesa taslimu Sh. 2,000,000 kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium ACP kama sehemu ya zawadi.
36 Responses
Jonasi mkude mshindi
saf
Jambo zur sana ili kusaidia wachezaji kupambania clabu
Mkude is the best
Mkude 🔥🔥
Simba sports club nalo tubadirishe tuitwe football club
#nguvu moja
Mimi ningependa kutoa ushauri. Kwa Pape ousman sakho kua Ligi yetu ni ngumu na Clab nying zna2mia nguvu uwanjan so Ili kuepuka majeruh ya mara kwa mara Asiwe anakaa na mpira mguun mda mref koz wachezaj weng wa bongo wanatumia nguvu kunyang’anya mpira na sio akili
Mfano mzuri ni majeraha aliyo yapata dhidi ya Dodoma jiji
Pia kuna team zna2mia nguvu kama Prisons
Ruvu shooting
Namungo
Na nyinginezo
NB :: ONE TEAM ONE DREAM
Nawapongeza kwa kazi nzuri. Keep it up
Simba taifa kubwa
Best fan
Joash is the best
🦁 Nguvu moja 💪
Nawapongeza sana Kwa emerate aluminum Kwa tuzo hizi Kwa wachezaji wetu hakika zinawap hamasa ya upambanaji viwanjani.
Ok
@#Simba Nguvu moja #
I love this club so much
Simba nguvu moja
Nitaichangia club yangu pendwa ya simba sc
Inonga fundi anajua
Tunawaomba viongozi wetu tutumie vizuri dirisha hili dogo kuimarisha timu yetu kwaajili ya confederation cup na ligi.
#oneteamOnedream
Thanka ssc
Ofcouse Jonas mkude I appreciate is the one who makes my heart feels better when Witcher when Nguvu moja playing and for this month makude have made wanderf playing
Nakpenda Sana Simba yangu
Berlin wall I Love this guy Joash so much
I vote for joash onyango
Ushindi ulikuwa mhimu, thankful Simba sc
I would like to appreciate the board of directors, technical bench,fans and team at large for fantastic moves they’re showing to make one the best team….together we succeed divided we fall! @Simbanguvumoja
Wishing you all the best to all over the tournament you engaging with
joash good display this month
My best defender
We believe in u
Joash Anytime Anyday
Mkude