Nyota watatu wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kumtafuta mchezaji bora wa mashabiki wa mwezi Aprili (Emirate Aluminium Simba Fans Player of the Month).
Nyota hao waliongia kwenye kinyang’anyiro hicho ni Clatous Chama, Aishi Manula na Shomari Kapombe ambao mmoja wao atashinda kutokana na idadi ya kura atakazopata.
Wachezaji watano waliingia kwenye kinyang’anyiro hicho lakini Kamati maalumu iliwachuja na kubaki na watatu ambao watapigiwa kura na mashabiki kupitia Tovuti rasmi ya klabu. Nyota wawili ambao walifika hatua hiyo ni Luis Miquissone na Pascal Wawa.
Tuzo hii ambayo inadhaminiwa na Emirate Aluminium Profile itakuwa ni ya tatu kutolewa tangu ilipoanza mwezi Februari mwaka huu.
Mchezaji atakayepata kura nyingi atakabidhiwa tuzo na fedha taslimu Sh 1,000,000 kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium.
Miquissone alikuwa mchezaji wa kwanza kutwaa tuzo hiyo mwezi Februari wakati Joash Onyango alishinda mwezi Machi.
PIGA KURA YAKO HAPA CHINI
138 Responses
Mchezaji bora wa Mwezi Clatous Chota Chama
Noma chama.
Chama
Manula
I wish iende kwa Manula ila bahati mbaya kwake, Chama atabeba.
Kiuhalisia mchezaji bora wa mwezi wa nne kwa upande wa Simba ni Aishi manula, japo Chama atapewa kwa sababu ya jina lake (fanbase) Manula anasitahiri tuzo hii absolutely
Nakubaliana nawe kabisaaaaaa
Binafsi nitampa Aishi Salum Manula,mechi 5,clean sheet 4,concede 1 goal only
Kura yangu nampa Aishi Salumu Manula
Me naona mchezaji wangu bora ni Manula maana kafanya kazi kubwa sana golin
Chama anastahili mwanangu
Kapombee
Chama anastahili
Piga kura mwenye chake atapata.
kapombe bwana anafaa kupata tuzo yake tusamini mchango wake
Wote wapo vizuli lakin mwezi huu tumasain na yeye
Sio bahati mbaya chama kuchukua he deserve to take it if you look on his contribution first he scored goals and he gave many goal assists
Namkubari sana shomary kapombe Mbeki mstaarabu asiye kuwa na wakuu na mtu
Kapombe anasitahili jaman
Aishi manula
Chama is best 🔥🔥🔥
Best player
Aish salum manula
Kwangu mimi kwa kipindi hiki cha mwezi wa nne napeleka kura yangi kwa SHOMARI KAPOMBE
Chama
Mimi binafisi nampa clatous chama
Aishi manula
Kapombe
👉🏻kura yangu kwa Clatos chota chama
Kura yangu kwa aishi salum manula
Binafsi Nampa nafasi clatous chota chama kuwa mchezaji Bora wa mashabiki kwa mwezi April kutokana na kuhusika moja kwa moja kwenye magoli 20 yaliyofungwa na club ya Simba kwenye ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2020/21
Chama
Binafsi kwa mwezi huu Aishi Salumu Manula anastahili
My vote goes to Manula
Kura yangu kwa Clatous Chama Mwamba wa Lusaka. Goal assist machine✊✊
Kapombe
Kwa maoni yangu mwenye kustahili ni chama
cleatus chota chama kwangu mm achukuee iyoo tuzo
Chama
for me Manula deserves
Manula
Chama
Aishi manula
Kapombe
Chita chama goes with this one
Kapombe shomari
Manula
Fundi uyu mwamba
Chamaaaa
Chama
Clatous Chama deserved
Binafsi tuzo itue kwa CHAMA kwa sababu kwenye hizi game za hapa karibuni kwa % kubwa amechangia upatikanaji wa ushindi kwa mnyma simba
Aishi Salum Manula anastahili kabisa kutwaa tuzo hii maana amejitahidi sana kulinda lango na kutoruhusu magoli ya kizembe!! #Manula
Shomari kapombe
Manula amaekua the best of april
Air manula
Air manula ni anajua tuuu mwamba wa cleen sheets
Shomari kapombe
✓AISHI SALUM MANULA
Clatus chota chama
✔️ for Air Manula
Manula
#NguvuMoja 💪
Aishi manulq
Shomari Kapombe. “show me the way”!
Aish Manula
Shomari Kapombe
Shomar kapombe amekuwa bola sana katika kipindi chote cha mwezi may
Chamaa
Aishi Manula
Chama anastail tunzo hiyoo nahis anaasist 4 na goal moja mwezi huu kwa iyoo chama anastaili
Aishi Salum Manula
Clatous Chama is the best ever by
Scoring goals,his remarkable assists wounderfull.You derseve Brother.
triple c
Chama
Chama
Kapombe shomari
Shomari kapombe anastahili kwa extended performance aliyoonesha kwa mwezi April
Aishi Manula
Tripple C
How can Vote for the player of the month, I don’t see the option!!
Air manul
Air manula
Anastahili Cloutous Chota Chama kuwa mchezaji bora kutokana na umahiri wake wa kutoa assist.
Chama
Kura yangu mm Nampa chamaaa maana kafanya makubwaaa san
Aishi Manila🛫
Chama anastahil
Triple C.. Chama
Chamaaaaa
Chamaaaa
Kapombe
Kapombeeree
Kaposh
Kapombee
Ka pombe.
Kapombe shomari
MCHEZAJI BORA NI CHAMA
Mm nampa chama jr Ila na manula nampongeza sana
Manula kaonesha kiwango cha juu Sana msimu huu.
Kumpa Aishi Manula ni chachu ya kumfanya awe bora zaidi langoni tusiangalie wachezaji wa ndani ya uwanja hata wa golini pia tuwathamini
Hakika hakika nakuunga mkono mzee …..chachu ya manula
Kwangu mimi Shomari kapombe nampa uchezaji Bora na kupanda na mashabiki
Aishi manula what a goal keeper
Chama
Air Manula Tz one anafaa sana kupata tuzo bt Triple C nae hapoi kabisa..
#Nguvumoja
🦁💪🔥✈️🙏🇹🇿
Dah Manula alistahili sana kipindi ichi @Hongeara Chama Jr
Chama kaisaidia timu sna
Kura yangu hapo inaenda kwa Aishi S Manula
Kwangu mimi kapombe ndiye anastahili kupata tuzo hii
Kapombe anastahili maana anapambana sana siku zote ameendelea kuwa bora
Chama
Ccc alistahiri ila kile kitendo cha juzi kwa Bm3 nampa Air manula
Mchezaji bora wa mwez huu ni kapombe
Mchezaji bora wa mwezi ni CHAMA
Manula🙌
Manula anastaili maana huwa anacheza dk 90 na anajitoa sana mpaka alisawahi zimia uanjani
Manula Aishi is on fire 💥🔥🔥
chama baba atar
Aishi manura 🙏🙏🙏🙏
Is best
Aish Manula Amestahili tuzo, japo wote wamekuwa na mchango mkubwa aisee…
Chama naona anastahili kutokana na mchqngo wake katika magoli
Maniula
Hii tuzo anayestahili kuichukua ni Aishi Salum Manula, ila Chama ana jina kubwa ndio maana atashinda yeye.
Shomari kapombe kwa sasa ndio mchezaji bora wa mwezi
Manula anastahili tuzo hii kwa upande wangu
Hii ndo thana ya NGUVU MOJA. Ahsante sana simba
Chama kapaform sana
Chama3
TRIPLE C Mwamba wa Lusaka,
Mchezaji bora wa mwezi April ni triple C amna kubisha
all we consider chama as the best player because of his perfomance
Chama
Chama for real
Aishi Manula deserves
Manula
Aishi Manila anastahili
Kura yangu nampa kapombeeeee hawampi lakin kaka uyu yuko vizuri sana asa wakati wa kupandisha na kumwaga majaro na V pass
Tunzo apewe mwamba wa lusaka Chama jr