Zimebaki siku tano kuelekea mchezo wetu wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Machi 29 Uwanja wa Benjamin Mkapa saa tatu usiku.
Nunua tiketi yako kupitia N Card ukiwa nyumbani ili kupunguza msongamano siku ya mchezo au nenda katika Vituo tulivyotangaza ambapo nako zinapatikana.
Tayari kuna tiketi ambazo zimeisha ambazo ni:
VIP A – Tsh. 40,000
Platinum – Tsh. 200,000
Tanzanite – Tsh. 250,000
Tiketi zilizobaki ni hizi za viingilio hivi:
Mzunguko – Tsh. 5,000
Machungwa – Tsh. 10,000
VIP C – Tsh. 20,000
VIP B – Tsh. 30,000
Wahi kununua tiketi yako mapema ili uwe sehemu ya historia ya kuisaidia Simba yako kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.