Kikosi chetu kimeanza safari usiku huu kuelekea nchini Morocco tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakaopigwa Jumamosi, Mei 17.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi kikosi kilivyoanza safari.