Kikosi chetu kimefanya ya kwanza nchini Algeria kujiandaa na mchezo wa pili wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine utakaopigwa Disemba 8.
Mazoezi hayo yamefanyika katika uwanja wa Nje wa Chahid Hamlaoui na wachezaji wote wameshiriki.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.