VIDEO: Timu yaendelea na mazoezi

Kikosi chetu kimeendelea na mazoezi ya uwanjani kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2025/2026 kikiwa kambini nchini Misri.

Mlinzi mpya wa kushoto Anthony Mligo nae ameshiriki mazoezi hayo baada ya kujiunga na wenzake jana.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER