VIDEO: Timu kuingia kambini kesho

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema kikosi chetu kesho kitaingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan utakaopigwa Jumamosi Uwanja wa KMC Complex.

Ahmed amesema tayari wapinzani Al Hilal wameshatua nchini leo na msafara wa watu 34 kwa ajili ya mtanange huo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia mchezo mwingine wa kirafiki utakaopigwa Septemba 7.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER