VIDEO: Semaji afunguka kuhusu usajili wa Sowah

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema usajili wa mshambuliaji, Jonathan Sowah ni jambo muhimu tumelifanya kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026.

Ahmed amesema tulimuhitaji Sowah ili kuweza kufikia malengo tuliyojiwekea kuelekea msimu huu kwakuwa tunataka kufanya vizuri ndani pamoja na Ligi ya Mabingwa.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed ametoa siri ya jinsi mshambuliaji huyo alivyotua kutoka kwao Ghana akiwa na familia yake.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER