VIDEO: Mratibu wa timu azungumzia maandalizi nchini Misri

Mratibu wa timu, Abbas Ally amesema maandalizi ya timu nchini Misri kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry utakaopigwa Jumatano Aprili 2 yanaendelea vizuri.

Abbas amesema kikosi kitaendelea kufanya mazoezi katika mji wa Ismailia kabla ya kuondoka siku moja kabla ya mchezo kuelekea Suez ambapo kutapigwa mechi yenyewe.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abbas amezungumzia maandalizi yote kwa ujumla.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER