VIDEO: Morice Abraham afunguka kuhusu kambi ya maandalizi nchini Misri

Kiungo mshambuliaji, Morice Abraham amesema maandalizi ya msimu mpya wa mashindano yanayoendelea nchini Misri yanazidi kuwafanya wachezaji kuzidi kuzoeana.

Morice amesema maandalizi ni mazuri na muunganiko baina ya wachezaji wageni na wapya unazidi kuimarika.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Morice amefunguka historia nzima ya maisha yake ya soka kutoka mtaani hadi kukipiga barani Ulaya.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER