Kocha Mkuu wa Simba Queens, Juma Mgunda amesema maandalizi ya timu kuelekea michuano ya CECAFA yamekamilika na kikosi kipo tayari kwa ajili ya mashindano.
Mgunda amesema tuna kikosi imara na hata usajili wa nyota wapya waliosajiliwa umezingatia mahitaji ya timu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Mgunda amezungumzia pia kuhusu malengo ya nchi ambayo yanashabihiana na ya klabu