Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex tayari kwa mchezo wa hatua ya 32 ya CRDB Federation Cup dhidi ya TMA Stars utakaopigwa kesho saa 10 jioni.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho.