VIDEO: Mazoezi ya Mwisho KMC Complex

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa KMC Complex kwa ajili ya mchezo Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa kesho saa 10 jioni.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.

 

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER