Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho mchana katika Uwanja wa Amaan Zanzibar tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane utakaopigwa kesho saa 10 jioni.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.