VIDEO: Mashabiki waanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa

Mageti ya Uwanja wa Benjamin Mkapa yamefunguliwa na tayari mashabiki wetu wameanza kuingia kwa ajili ya kushuhudia Tamasha la Simba Day.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi hali ilivyo mpaka sasa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER