VIDEO: Mahojiano ya kwanza ya Kocha Fadlu kuhusu timu

Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema malengo ya klabu ni kuhakikisha timu inarejea kwenye makali yake na kushindania mataji kama ilivyo kawaida yetu.

Kocha Fadlu amesema kambi ya Misri ni mahususi kwa ajili ya kuandaa kikosi imara ambacho kitakuwa na uwezo na kushindana kwenye kila mchezo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia kuhusu viwango vya wachezaji mmoja mmoja.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER