VIDEO: Magoso, Masatu wasimulia fainali ya mwaka 1993

Walinzi wetu wa kati wazamani, Fikiri Magoso na George Masatu wamesimulia mchezo wa fainali tuliyocheza mwaka 1993 na jinsi maandalizi ya yalivyokuwa huku wakisema hakuna tofauti kubwa na sasa.

Nyota hao ambao walikuwa wakitambulika kama mapacha kutokana na ushirikiano waliokuwa nao ndani na nje ya uwanjani wamesema mara zote Simba tumekuwa makini kwenye kufanya usajili wa wachezaji na ndio wanaiofanya timu kuwa imara mara zote.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho wawili hao wameonyesha matumaini makubwa na mchezo wetu wa fainali utakaopigwa Jumapili dhidi ya RS Berkane kuwa tutabeba taji.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER