Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema anawaamini wachezaji wote ndio maana amekuwa akifanya mabadiliko mara kwa mara kwenye kikosi chake na wamekuwa wakimpa matokeo chanya.
Kocha Fadlu amesema anafurahi kuwa na kikosi chake kamili kwakuwa ratiba ya mechi zimekuwa zinafuatana kila baada ya siku mbili ndio maana amekuwa akifanya mabadiliko ya mara kwa mara.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia viwango vya wachezaji mmoja mmoja.