VIDEO: Kocha Fadlu afunguka ushindi dhidi ya Prisons

Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya Tanzania Prisons ulikuwa muhimu kwakuwa tulihitaji zaidi kuupata.

Kocha Fadlu ameongeza kuwa amefanya mabadiliko ya wachezaji watano ukilinganisha na mchezo uliopita kutokana na baadhi ya nyota kupata maumivu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho mchezaji bora wa mechi na mfungaji wa bao pekee Che Malone amezungumzia kiwango chake na mechi kwa ujumla.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER