VIDEO: Kocha Fadlu afunguka sare dhidi ya Azam

Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema makosa mawili ya dakika ya mwanzo na ya mwisho yametugharimu na kupelekea sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Azam FC licha yakuwa na mchezo bora uwanjani.

Fadlu amesema bado tuna nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu kwakuwa tofauti ya alama iliyopo ni ndogo hivyo tunapaswa kushinda kila mchezo ili kufikia malengo.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia mchezo unaofuata dhidi ya Coastal Union.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER