Kikosi chetu leo kimeanza mazoezi kwenye Uwanja wa Mo Simba Arena kujiandaa na mchezo wa hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup utakaopigwa Machi, 27 KMC Complex saa 10 jioni.
Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi mazoezi hayo yalivyokuwa.