Kiungo mshambuliaji Kibu Denis amesema kinachomfanya kuwa bora kila siku ni kufanya mazoezi kwa juhudi, kujituma pamoja na kutambua anachotakiwa kufanya.
Kibu amesema mchezo dhidi ya CS Constantine haukuwa rahisi lakini jambo jema ni kuwa tumefanikiwa kuongoza kundi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kibu ameelezea pia jinsi alivyofunga bao lake.