Kiungo mshambuliaji Kibu Denis amesema licha ya ushindi wa mabao 5-0 tuliopata dhidi ya Kengold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi lakini mechi haikuwa rahisi.
Kibu amesema mechi za kuelekea mwishoni mwa msimu zinakuwa ngumu na hata Kengold walitupa ushindani mkubwa lakini jambo jema ni kupata alama tatu muhimu.
Tazama video hii hadi mwisho Kibu amezungumzia pia tuzo aliyopata ya mchezaji bora wa mechi.