Kocha Mkuu Fadlu Davids amesema mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry lakini utaamuliwa katika mechi ya pili itakayopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Fadlu amesema matokeo yoyote yatakayotokea nchini Misri bado hayataamua nani aende nusu fainali ndio maana tumejiandaa kuhakikisha tunapata bao la ugenini na kujilinda ili tusirihusu mabao mengi
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu ametoa kauli kuhusu timu kushindwa kufika nusu katika misimu mitano mfululizo mfululizo.