VIDEO: Fadlu amesema hatushangilii sana kutinga fainali, Tunalitaka taji

Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema hatutakiwi kushangilia sana kwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika badala yake tunahitaji kutunza nguvu kwa ajili ya fainali.

Fadlu amesema alitegemea mechi ngumu kutoka kwa Stellenbosch lakini tuliweza kudhibiti presha waliyotupa na kufanikiwa kutinga fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu ameweka wazi kuwa tunautaka Ubingwa.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER