VIDEO: Buguruni kumeanza Kuchangamka, Kituo kinachofuata ni Gongolamboto

Zoezi la hamasa kuelekea mchezo wetu wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry limeingia siku ya pili na limeanzia Buguruni kuelekea Gongolamboto.

Tazama video hii hadi mwisho kuona jinsi timu ya hamasa ilivyokiwasha Buguruni Sheli kabla ya kuanza safari ya kuelekea Gongolamboto.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER