Kiungo mshambuliaji Awesu Awesu amesema ndoto yake ya siku nyingi ya kuchezea Simba imetimia rasmi leo na ni jambo la furaha kwake.
Awesu amesema baada ya kujiunga nasi kilichobaki ni kufanya kazi kwa bidii ili kuisaidia timu kufanya vizuri na kufikia malengo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Awesu amezungumzia anavyouona msimu mpya utakavyokuwa.