VIDEO: Alichosema Semaji baada ya timu kufika Misri

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema baada ya kikosi kufika nchini Misri leo usiku kitaanza mazoezi kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi Al Masry utakaopigwa Jumatano ya wiki ijayo.

Ahmed amesema mazoezi ya timu yatakuwa yanafanyika usiku kwenye muda ule ule ambao mchezo utachezwa ili kuwafanya wachezaji kuzoea hali ya hewa ambayo ni baridi.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia wachezaji waliokuwa na kikosi cha Taifa Stars ambao walitangulia.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER