Licha ya ushindi wa mabao 3-0 tuliopata dhidi ya TMA Stars Kocha Mkuu, Fadlu Davids amesema haikuwa mechi rahisi na timu hiyo imetupa wakati mgumu.
Fadlu amesema TMA ilikuwa imara kwenye maeneo mengi lakini tulikuwa bora zaidi na wazoefu na hilo limesaidia kupatikana kwa ushindi huo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu amezungumzia kwa kifupi kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo wikiendi iliyopita.