VIDEO: Alichosema Ahmed baada ya dua ya Hayati Ali Hassan Mwinyi

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema lengo la kutembelea na kufanya Dua katika kaburi la Hayati Rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya kumuombea kwa Mwenyezi Mungu kwakuwa ana historia na klabu yetu.

Ahmed amesema mwaka 1993 Hayati, Mhe. Mwinyi akiwa Mgeni rasmi kwenye mchezo wa fainali tulishindwa kumpa furaha ya kutwaa ubingwa lakini keshokutwa Mei 25, mwanae Dkt. Hussein Ally Mwinyi akiwa Rais wa Zanzibar tunaenda kumkabidhi Kombe la Shirikisho Afrika.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amewaomba mashekh kuiombea Dua timu kuelekea mchezo wetu wa Jumapili.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER