Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amewaomba watoto wa Shule ya Montessori kutuombea Dua Maalum itakayotuwezesha kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuifunga RS Berkane siku ya Jumapili.
Ahmed ameyasema wakati wa kutoa zawadi kwa watoto hao kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji Foundation ambayo imekuwa na utaratibu wa kurejesha kwa jamii kila tunapoelekea kucheza mechi za Kimataifa.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amefunguka mambo mambo mengi mbele ya watoto hao.