VIDEO: Ahmed atoboa Siri juu ya Mipango ya Fadlu Kombe la Shirikisho

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema mipango ya Kocha Fadlu Davids katika mechi nne za hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ni kukusanya alama 12 au 10 lakini kupoteza mbele ya CS Constantine kulitibua mipango.

Ahmed amesema baada ya mipango kuharibika ndipo tulipotakiwa kuhakikisha tunashinda mechi zote zilizo mbele yetu huku akiweka wazi haikuwa wazi kuwa haikuwa rahisi kupata pointi tatu mbele ya CS Sfaxien ugenini.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia kiwango cha fundi Jean Charles Ahoua.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER