Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu, Ahmed Ally amesema lengo lakuja na Bonanza ni kuwafanya Wanasimba kuwa na upendo, umoja na mshikamano.
Ahmed amesema lengo la viongozi ni kuwafanya Wanasimba wote kuwa wamoja na kuwaunganisha.
Tazama video hii hadi mwisho Ahmed amezungumza mengi kuhusu Bonanza kwa ujumla.